Nadal,Medvedev wang'ara Mexico Open
Bingwa wa michuano ya wazi ya Australian 2022 Rafael Nadal ameanza vyema kwenye michuano ya wazi ya Mexico baada ya kuibuka na ushindi wa seti 2-0 dhidi ya nyota kutoka Marekani Denis Kudla katika mzunguko wa kwanza wa michuano hiyo na sasa atapambana na Mmarekani Stefan Kozlov.

