Jay Z ateketeza Bilioni 14 mkononi mwake Jay Z akiwa amevaa saa hiyo mkononi mwake Unaambiwa Jay Z ameishtua dunia baada ya kuonekana na saa mpya ya 'Patek Philippe Tiffany Blue Nautilus 5711' yenye thamani ya Dola Milioni 6.5 sawa na Tsh Bilioni 14. Read more about Jay Z ateketeza Bilioni 14 mkononi mwake