Chris Paul nje hadi mwisho wa msimu NBA
Nyota wa Phoenix Suns, Chris Paul amevunjika kidole gumba cha mkono wake wa kulia hivyo atapata matibabu yatakayomuweka nje ya uwanja kwa wiki sita hadi nane jambo ambalo litamfanya awe nje hadi mwisho wa msimu huu wa NBA.

