Whyte amwaga wino kuzichapa na Fury.

Dillian Whyte asaini mkataba kuzichapa na Tyson Fury.

Hatimaye Bondia Dillian Whyte ametia saini kandarasi ya pambano atakalopigana dhidi ya Tyson Fury kuwania taji la uzito wa juu Duniani la WBC kwenye Uwanja wa Wembley nchini England baadae mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS