Kijana agongelewa kwenye mti kwa misumari Mkono ukiwa umegongelewa na msumari Jeshi la Polisi nchini Kenya bado linaendelea kumtafuta mwanaume mmoja aliyegongelea kwenye mti mikono ya kijana mmoja anayeitwa Collins Sambaya (19), kwa kumtuhumu kuwa amemwibia redio yake. Read more about Kijana agongelewa kwenye mti kwa misumari