Barcelona kucheza EUROPA ligi baada ya miaka 20 (Baadhi ya wachezaji wa Barcelona wakihuzunika baada ya kipigo) Wababe wa Uhispania, timu ya Barcelona imeondolewa kwenye michuano ya klabu bingwa barani Ulaya baada ya usiku wa jana kukubali kipigo ba 3-0 kutoka kwa Bayern Munich ya Ujerumani. Read more about Barcelona kucheza EUROPA ligi baada ya miaka 20