Hawa ndio walioachwa kwenye uteuzi

Kushoto ni aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi na Kulia ni aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Baraza lake la Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu hii leo Januari 8, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS