Mgao wa umeme kwa siku 10 kuja Jengo la Shirika la Umeme nchini (TANESCO) Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limetangaza rasmi kuanza mgao wa umeme wa siku 10 kwa nchi nzima ili kuruhusu matengenezo ya mitambo ya kufua umeme kote nchini. Mgao huo utaanza Februari Mosi hadi 10 mwaka huu. Read more about Mgao wa umeme kwa siku 10 kuja