Taarifa kuhusu Van Dijk ipo hivi Mlinzi wa Liverpool, Virgil van Dijk alipoumia katika mchezo dhidi ya Leicester City. Klabu ya Liverpool imethibitisha kwamba zoezi la upasuaji wa goti la mlinzi wake Virgil van Dijk limefanyika kwa mafanikio. Read more about Taarifa kuhusu Van Dijk ipo hivi