Makocha kikapu Tanzania watupiwa lawama

Mchezaji wa Pazi Denis Chibula.

Nyota wa timu ya Pazi iliyokua ikishiriki michuano ya klabu bingwa ya Taifa amesema mabingwa Kurasini Heat hawana ubavu wa kushindana na vilabu vingine Afrika kwakuwa makocha wanaowafundisha hawana mbinu za kiwango cha juu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS