Maneno ya Bonnah baada ya kumdondosha Mrema

kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA, John Mrema na kulia ni Mbunge mteule wa jimbo la Segerea Bonnah Kamoli

Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi,(CCM), Bonnah Kamoli, kwa mara nyingine tena amefanikiwa kushinda nafasi ya ubunge katika jimbo la Segerea dhidi ya mpinzani wake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ,CHADEMA,John Mrema.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS