Tiktokers kuanza kulipwa Rwanda

Rwanda imekuwa Nchi ya Kwanza barani Afrika kwa watengeneza maudhui wa nchini humo wa mtandao TikTok kuweza kupata pesa moja kwa moja kutokana na maudhi wanayotengeza kwenye mtandao huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS