Mwana FA aingilia mgogoro wa Mac Voice na Rayvanny
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amekutana na msanii Mac Voice kusikiliza malalamiko yake yanayohusu mgogoro kati yake na Rayvanny kwenye lebo ya Next Level Music.

