Ayra Starr ndoto yake ni Burna Boy
Msanii wa muziki kutoka Nigeria Ayra Starr ameendelea kuonyesha kuvutiwa kwake na kufanya kazi na staa mwenzake Burna Boy, huku jina la Burna likitajwa mara nyingi zaidi na Ayra ukilinganisha na wasanii wengine wengi wa ndani na nje ya Nigeria.

