Watanzania 'vichaa' wakumbukwa na serikali

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto imewataka waganga wakuu wa mikoa na wilaya kuhamasisha jamii katika kuwaibua wagonjwa wa akili kuwapeleka katika vituo vya afya ili wapatiwe matibabu kwa madai hiyo ni bure.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS