Amchoma moto mtoto kisa Sukari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Jaffary Mohamed amethibitisha kuwa wanamshikila Nyandaro Kusoya mkazi wa kijiji cha Nyang'oma kwa tuhuma za kumchoma moto mikono yote mtoto wa kaka yake, Sarah Kaela. Read more about Amchoma moto mtoto kisa Sukari