Tanzania yapiga hatua kwenye ukeketaji Kuelekea maadhimisho ya siku ya kutokomeza ukeketaji wa wanawake na watoto wa kike duniani, (FGM) hii leo nchini Tanzania imeelezwa kuwa kitendo hicho haramu kimepungua na hivyo kutia matumaini. Read more about Tanzania yapiga hatua kwenye ukeketaji