Rekodi mpya ya Messi kwenye El Clasco

Nyota wa Barcelona Lionel Messi ameendelea kusogeza juu rekodi yake ya kufunga mabao kwenye mechi ya El Clasco inayokutanisha Real Madrid na Barcelona baada ya leo kufunga bao moja na kufikisha jumla ya mabao 25.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS