CHADEMA walia na msimamizi wa uchaguzi
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo , kimemlalamikia msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kinondoni kwa kudai kuwa anaashiria kuharibu uchaguzi unaotarajia kufanyika Februari 17,2018 kwa kutowapa viapo mawakala Februari jana kunaashiria njama

