Polisi walifanyia uchunguzi fuvu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Muandamizi wa Polisi (SACP), Wilbroad Mutafungwa amesema ni kweli jeshi la Polisi Mkoani kwake linashikilia fuvu linalosadikiwa kuwa ni la kichwa cha binadamu kwa ajili ya uchunguzi.