Kiwanda champonza mfanyabiashara Mwanza
Jeshi la Polisi Mkaoni Mwanza kwa kushirikiana na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamethibitisha kushikiliwa mfanyabiashara Emmanuel Munisi mkazi wa Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza akiendesha kiwanda,