Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia Mhe. William Ole Nasha
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia imewataka watanzania wote nchini waliopoteza vyeti vyao vya elimu watoe taarifa mapema katika sehemu husika na wasisubiri mpaka pale wanapokuwa na uhitaji navyo ndio waanze kuhangaika.