Tanzania hoi, Uganda wababe Tanzania imezidi kuporomoka kwenye viwango vya soka duniani baada ya kushuka kwa nafasi tano zaidi kwenye viwango vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa mwezi Novemba. Read more about Tanzania hoi, Uganda wababe