Watanzania Mil 25 wadaiwa kukosa msaada wa sheria Wananchi zaidi ya milioni 25 nchini Tanzania wamedaiwa kuwa hawapati huduma za kimahakama kutokana na upungufu wa majengo ya mahakama na uhaba wa watumishi hususani kwenye mahakama za mwanzo. Read more about Watanzania Mil 25 wadaiwa kukosa msaada wa sheria