Waziri atoa neno kwa vyama Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama, amevitaka vyama vya wafanyakazi nchini kuwaelimisha watumishi wao kuhusu sheria na miongozo mbalimbali. Read more about Waziri atoa neno kwa vyama