Joh Makin awaonya wasanii hawa Rappa kutoka kampuni ya Weusi, Johmakin amefunguka kwamba kama yupo kijana anatamani kuingia kwenye muziki kwa kutazama mafanikio yake, basi aache muziki kwani atakuwa hakifanyi hicho kitu kutoka ndani ya moyo wake. Read more about Joh Makin awaonya wasanii hawa