Yanga yamshindwa Ngoma Suala la mchezaji Donald Ngoma limebaki kiporo tena baada ya uongozi wa klabu ya Yanga kushindwa kufikia maamuzi pamoja na siku za hivi karibuni kuahidi kulishughulikia. Read more about Yanga yamshindwa Ngoma