Fahamu mikoa inayoongoza kwa UKIMWI
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango leo Disemba 2017, amemkabidhi Rais John Pombe Magufuli takwimu inayoonyesha hali ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi katika ofisi za Takwimu Mjini Dodoma.