Man City kumkosa nyota wake Vinara wa EPL Manchester City leo wamekamilisha usajili wa mlinzi Aymeric Laporte kutoka Athletic Bilbao ya Hispania lakini watamkosa winga wao Mjerumani Leroy Sane ambaye ni majeruhi. Read more about Man City kumkosa nyota wake