Tume yawagomea ACT na CHADEMA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema hadi sasa hakuna chama chochote cha siasa kilicho fuata sheria na kanuni za uchaguzi za kujitoa katika uchaguzi wa marudio wa ugombea ubunge na udiwani na wabungeutakao fanyika Januari mwakani.