Bunge lapitisha Mswada wa Sheria
Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 5 ya mwaka 2017 zikiwamo mbili kati ya nne zilizopendekezwa ambazo ni sheria ya ardhi, sura 113 na sheria ya utumishi wa umma sura 208.

