Shilole asimulia yaliyomkuta kwenye sherehe Msanii wa muziki bongo asiyeisha vituko, Zuwena Mohamedi maarufu kama Shilole, ameweka wazi janga lililomkuta kwenye nguo aliyovaa ambayo imeonekana kuwaacha watu midomo wazi huku wakimcheka. Read more about Shilole asimulia yaliyomkuta kwenye sherehe