Wabunge wa Tanzania na Burundi wamkataa Spika
Baada ya Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika mashariki kuchaguliwa na wajumbe wa nchi nne za jumuiya badala ya sita wabunge kutoka Burundi na Tanzania na Burundi wamesema uchaguzi huo umekiuka misingi na kanuni za Jumuiya hiyo.