Azam FC yatoa onyo kali Katika mwendelezo wa michuano ya kombe la shirikisho klabu ya Azam FC, imetoa kipigo kikubwa cha mabao 5-0 dhidi ya timu ya Shupavu FC ya mkoani Morogoro kwenye mchezo uliomalizika jioni hii. Read more about Azam FC yatoa onyo kali