Hatimaye Vanessa aweka wazi
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Msanii Vanessa Mdee ameamua kuwaonesha mashabiki wake cover ya Albamu yake ambayo anatarajia kuitoa na hii ikiwa ni albamu yake ya kwanza tangu aingie katika gemu la muziki wa Bongo fleva.