Naibu Waziri Shonza apigilia msumari kauli ya Rais Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza amesema wizara yake haitasita kumchukulia hatua msanii yeyote ataekaidi agizo la kuvaa mavazi yenye staha. Read more about Naibu Waziri Shonza apigilia msumari kauli ya Rais