Azam FC yalalamikia muda Kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho leo, klabu ya soka ya Azam FC imesema ratiba ya mechi yao kuchezwa 8:00 mchana ndio changamoto ambayo timu hiyo itakutana nayo. Read more about Azam FC yalalamikia muda