Yanga, Azam na timu zingine 14 dimbani Mabingwa wa kwanza wa Kombe la Shirikisho, klabu ya Yanga SC leo inashuka dimbani kuvaana na timu ya Ihefu FC ya Wilayani Mbarali jijini Mbeya kwenye mchezo wa hatua ya 32 ya michuano hiyo. Read more about Yanga, Azam na timu zingine 14 dimbani