CCM wanangwa kumkosa kiongozi
Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amekiponda Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushindwa kumpata Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kwa kuzidiwa ujanja na wabunge wa Rwanda na Uganda, kwa madai kwamba wameshindwa kuichakachua.