CCM yapewa meno dhidi ya Serikali
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ametoa onyo kwa viongozi wa Serikali hasa anaowateua kuheshimu na kuzingatia maagizo yanayotolewa na viongozi wa chama hicho ikiwa ni pamoja na kuwajibika vinginevyo atawachukulia hatua.