Azam FC yaomba radhi
Kocha wa Klabu ya Azam FC Idd Cheche amefunguka na kuwaomba radhi wapenzi wa mpira wa miguu na timu hiyo kiujumla kwa kupoteza mchezo wao dhidi ya Yanga ambao ulichezwa (Azam Complex) wikiendi hii iliyoisha na kuchapwa mabao 2-1.

