Baada ya Barcelona, Guardiola aisaka Bayern Kocha wa Manchester City Pep Guardiola baada ya kuipiku rekodi yake mwenyewe ya kushinda mechi 16 mfululizo akiwa na Barcelona sasa ameipiku rekodi ya Inter Milan ya kushinda mechi 17. Read more about Baada ya Barcelona, Guardiola aisaka Bayern