Kiti cha ubunge cha Sophia Simba chanadiwa

Sophia Simba

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ametangaza rasmi kuwa kiti kimoja cha ubunge  Viti Maalum Wanawake kwa tiketi ya CCM kiko wazi kufuatia Mbunge wa nafasi hiyo Sophia Simba kufukuzwa uanachama wa chama hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS