Serikali yatoa ajira kwa walimu 3,081
Serikali imesema jumla ya walimu 3,081 wakiwemo walimu 7 wa shule ya Sekondari Omumwani Kagera, wameajiriwa, hivyo bado kuna nafasi ya walimu 1.048 kat ya nafasi 4,129 za walimu wa Sayansi na Hisabati zilizotolewa kibali cha ajira.