VIDEO: Nimemsamehe Baraka - Ben Pol

Ben Pol kushoto, kulia ni Baraka The Prince

Mwanamuziki wa miondoko ya RnB bongo, Ben Pol amejibu ‘diss’ ya Baraka The Prince kuhusu ujio wa wimbo wake mpya na kusema kuwa amesha msamehe siku nyingi, kabla hata hamjamkosea huku akiongeza kwamba anajitahidi kumsaidia msanii huyo akue.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS