Indiana watangulia fainali NBA Kanda ya mashariki Indiana Pacers Indiana pacers imekua timu ya kwanza kutinga fainali ya NBA kutoka ukanda wa Mashariki baada ya kupata ushindi wa vikapu 114- 105 dhidi ya Cleveland cavaliers Read more about Indiana watangulia fainali NBA Kanda ya mashariki