Gary Neville awapa Arsenal mbinu ya kuwa bingwa
Beki na nahodha wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amesisitiza kuwa Arsenal lazima iibuke na ushindi dhidi ya Manchester City kwenye Uwanja wa Etihad ikiwa inataka kuwa bingwa wa Ligi Kuu ya England msimu huu.

