Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

CCM waibuka sakata la 'Bunge ni dhaifu'

Saturday , 19th Jan , 2019

Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi wamejitokeza kwa mara ya kwanza kwa kuingilia kati sakata la Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof Mussa Assad na Spika Job Ndugai kwa kumpongeza CAG kuitikia wito wa Spika.

Wabunge hao wa CCM ni mara ya kwanza kutoa msimamo wao tangu sakata hilo lilipoanza ambapo wamedai maamuzi ya Profesa Mussa Assad yameonesha ni kuheshimu utawala wa kisheria kwa kiongozi wa mkuu wa Bunge.

Akizungumza kwa niaba ya wabunge wa CCM, Mbunge wa Mbinga Mjini Sixtus Mapunda amesema "tunampongeza sana CAG kwa kuitikia wito wa kamati licha ya kuwepo kwa propaganda za kwenye mitandao ya kijamii, na baadhi ya wabunge wa upinzani."

"Tunamshukuru kwa kuheshimu mamlaka ya Bunge, sisi kama wabunge tunadhani hatua ya CAG itasaidia kurudisha mahusiano ya Bunge na ofisi ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali."

Januari 21, 2019 Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali CAG ametakiwa kufika kwenye kamati ya maadili ya Bunge ili kujibu madai juu ya kauli aliyoitoa kuwa Bunge ni dhaifu.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu