
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Naibu Waziri Mkuu wa Mauritius kwenda kwenye ukumbi wa mikutano wa Gran Melia jijini Arusha kufungua Mkutano wa 65 wa Shirika Utalii Duniani - Kamisheni ya Afrika kwa naiba ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan , Oktoba 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Waziri wa Afya wa Qatar Dkt. Hanan Mohamed Al Kuwari

Picha ya Nay Wa Mitego akiwa na mama yake mzazi
Rais wa Uganda Yoweri Museveni

Baadhi ya wananchi walioshiriki mazishi ya mtoto Aisha
Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde

Katibu wa NEC, itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka