Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mafundi simu sasa kusajiliwa

Thursday , 6th Dec , 2018

Serikali imeagiza kusajiliwa kwa mafundi wanaotengeneza simu nchini ili mafundi hao waweze kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria, na kutoa huduma zenye viwango na ubora.

Mafundi simu.

Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Dkt, Jim Yonaz alipokuwa akiwatunuku vyeti vya mafunzo ya miezi 5 mafundi simu 68, ambayo yalitolewa na Chuo cha Sayanasi na Teknolojia DIT.

Akizungumza na mafundi hao Naibu Katibu Mkuu huyo amesema hatua ya TCRA kuwatambua mafundi hao ni muendelezo wa kuunga mkono juhudi za kuelekea uchumi wa viwanda ambayo ni sera ya serikali ya awamu ya tano.

Kuanzisha mafunzo haya ya kurasimisha ufundi wa simu za mkononi kutawasaidia mafundi kufanya kazi kwa weledi na ufahamu lakini pia itaisaidia TCRA kutoa leseni kwa mafundi ambao kiwango chao kinafahamika," amesema Yonaz.

Yamekuja kwa wakati muafaka na naomba yaendelee kusimamiwa vyema ili mafundi simu za mikononi nchini kote waweze kupata elimu hii, ” ameongeza.

Mwaka 2016 serikali kupitia mamlaka ya Mawasiliano Tanzania  TCRA iliendesha zoezi la kuzifungia simu feki ambazo zimeingia nchini bila ya kuwa na imei namba ambapo kupitia zoezi hilo maelfu ya wamiliki wa simu na wafanyabiashara wa simu walipoteza simu zao.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu